Jifunze Qur-aan na Kiarabu kwa Msingi Sahihi

Jifunze Qur-aan na Kiarabu kwa Msingi Sahihi

As-salāmu ‘alaykum wa raḥmatullāh wa barakātuh
Tunashukuru kwa kuonyesha nia ya kujiunga na masomo ya Markaz Zayd bin Thābit – Online. Tunatoa mafunzo ya Qur-aan na lugha ya Kiarabu kwa mfumo wa kisasa unaokuwezesha kujifunza popote ulipo.

1. Qā‘idah ya Kusoma Qur-aan kwa Usahihi -Jifunze misingi sahihi ya kusoma Qur-aan kwa tajwid na matamshi sahihi.

2. Qā‘idah ya Kuandika Kiarabu kwa Usahihi - Pata ujuzi wa kuandika Kiarabu kwa kufuata kanuni sahihi.

Unaweza kuchagua kozi moja au zote mbili. Kozi ya kuandika pekee inahitaji tathmini fupi ya kusoma.

Karibu ujifunze Qur-aan na Kiarabu kwa msingi sahihi, kwa mfumo unaokupa uhuru wa muda na uangalizi wa kielimu.